Nenda kwa yaliyomo

21 Agosti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 21 Agosti ni siku ya 233 ya mwaka (ya 234 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 132.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Pius X, Agatoniki na wenzake, Siriaka wa Roma, Kwadrato wa Utica, Euprepi, Lusori, Basa na wanae, Privati wa Mende, Sidoni Apolinari, Bernardo wa Alzira, Maria na Grasya, Yosefu Dang Dinh Vien n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 21 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.