Siriaka wa Roma
Mandhari
Siriaka (pia: Dominika; alifariki Roma, Italia, 249) alikuwa mwanamke mjane wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa kupigwa mijeledi kwa ajili ya imani yake[1] na kuliachia Kanisa eneo la shamba la Mungu lenye jina lake[2].
Laurenti Mfiadini alikuwa anatumia nyumba yake kugawa misaada kwa fukara[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Agosti[4] au 19 Mei[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ St. Cyriaca Catholic Online
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/67070
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/67070
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ (Kigiriki) Ἡ Ἁγία Κυριακὴ ἡ Μάρτυς καὶ οἱ σὺν αὐτῇ. 19 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |