Uswazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Umbuso weSwatini
Kingdom of Swaziland
Bendera ya Uswazi Nembo ya Uswazi
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Siyinqaba
(Swati: Sisi ni boma)
Wimbo wa taifa: Nkulunkulu Mnikati wetibusiso temaSwati
Lokeshen ya Uswazi
Mji mkuu serikali: Mbabane
mfalme na bunge: Lobamba
26°19′ S 31°8′ E
Mji mkubwa nchini Mbabane
Lugha rasmi Kiingereza, Kiswati
Serikali Ufalme
Mswati III
Uhuru
kutoka Uingereza
6 Septemba 1968
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
17,363 km² (ya 153)
0.9
Idadi ya watu
 - Julai 2006 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
1,032,000 [1] (ya 154)
1,173,900
65.4/km² (99th)
Fedha Lilangeni (SZL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+ 2)
(UTC)
Intaneti TLD .sz
Kodi ya simu +268

-

1.) 1.) angalia: Makadirio ya idadi ya watu ni pamoja na vifo kutokana na UKIMWI.Ramani ya Uswazi

Uswazi ni nchi ndogo ya Afrika ya Kusini. Mji mkuu ni Mbabane. Imepakana na Afrika Kusini na Msumbiji.

Uswazi inatawaliwa tangu 1986 na mfalme Mswati III. Kwa muda mwingi wa uhuru wa nchi katiba ilikuwa imesimamishwa na mfalme aliyetawala peke yake.

Uswazi ni kati ya nchi duniani zinazoathiriwa zaidi na Ukimwi; umri wa wastani unafikia miaka 32.62 pekee kwa sababu ya vifo vingi. Mfalme anapingwa mara nyingi kwa sababu anatumia pesa nyingi kwa ajili ya matumizi yake binafsi ilhali wananchi ni maskini sana.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uswazi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.