Maskini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maskini (kutoka neno la Kiarabu) ni mtu ambaye anatia huruma kwa sababu ni mlemavu, amapatwa na msiba mkubwa, au ana uwezo duni katika uchumi.

Mara nyingi mtu hutajwa kuwa maskini pale ambapo hana uwezo wa kumudu maisha yake kwa kupata mahitaji yake muhimu yaani makazi mazuri, mavazi mazuri na chakula kizuri.

Mtu maskini pengine huwa hana uhakika wa kula, uhakika wa kununua mavazi na uhakika wa kupata matibabu pale atakapoumwa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maskini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.