Msiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Msiba (kutoka neno la Kiarabu: مصيبة) ni hali au tukio lolote la kusikitisha au la kuleta majonzi linalompata mtu binafsi au jamii, kama vile kifo cha ndugu, ajali, kufilisika n.k.

Dini mbalimbali zinasaidia kukabili misiba inayoweza ikatokea maishani.

Mara nyingi utamaduni kuhusu misiba unategemea dini ya wahusika.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msiba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.