1921
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| ►
◄◄ |
◄ |
1917 |
1918 |
1919 |
1920 |
1921
| 1922
| 1923
| 1924
| 1925
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1921 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 22 Februari - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-76) na Kaisari (1976-79) ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 1 Machi- Richard Wilbur, mshairi kutoka Marekani
- 4 Aprili - Peter Burton, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 5 Mei - Arthur Schawlow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
- 9 Mei - Mona Van Duyn, mshairi kutoka Marekani
- 15 Mei - Jack Steinberger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 14 Julai - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 15 Julai - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984
- 19 Julai - Rosalyn Yalow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977
- 11 Agosti – Alex Haley, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1977
- 3 Novemba - Charles Bronson, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 5 Mei - Alfred Fried, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1911
- 13 Julai - Gabriel Lippmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908
- 10 Septemba - John Tengo Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 28 Oktoba - William Speirs Bruce, mpelelezi wa Antaktiki kutoka Uskoti
- 16 Desemba - Camille Saint-Saëns, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: