William Speirs Bruce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
William Speirs Bruce

William Speirs Bruce (1 Agosti 1867 - 28 Oktoba 1921) alikuwa mpelelezi kutoka Uskoti. Miaka ya 1902–1904 alisafiri Antaktiki. Alizaliwa mjini London. Aliaga dunia alipokuwa na umri wa miaka 54.