Arthur Schawlow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arthur Schawlow
Tuzo Nobel.png

Arthur Leonard Schawlow (5 Mei 192128 Aprili 1999) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Kama mtoto na kijana aliishi na kusoma nchini Kanada kabla hajarudi Marekani. Hasa alichunguza mnururisho na kubuni leza alipofanya kazi pamoja na Charles Townes. Mwaka wa 1981, pamoja na Nicolaas Bloembergen na Kai Siegbahn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Schawlow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.