Leza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leza Nyekundu(660 & 635 nm), kijani(532 & 520 nm) na bluu (445 & 405 nm)

Leza (kutoka Kiingereza laser, akronimi ya fungu la maneno "Light Amplification by Stimulated Emission of Radiation"[1][2]) ni chombo cha kukuza na kushadidisha miali kuelekea upande mmoja kutengeneza mwangaza leza.

Kifaa hiki ni maalumu, si kama taa nyingine za kutoa mwangaza na miali yake ina matumizi mengi.

Historia

Leza ina historia kubwa na ni mojawapo wa nyanja zilizofanyiwa utafiti mkubwa tangu mwaka 1917. Utafiti wa leza umekua kutokana na utafiti wa mnururisho (radiation) na utafiti wa usumakuumeme (electromagnetism).

Manufaa ya leza

Leza ina matumizi mengi yakiwemo:

Tanbihi

  1. 1.0 1.1 NASA (25 May 2017). What is a laser? :: NASA Space Place (en-US). spaceplace.nasa.gov. Iliwekwa mnamo 2018-07-09.
  2. Lawrence Livermore National Laboratory. How Lasers Work (en-US). lasers.llnl.gov. Iliwekwa mnamo 2018-07-09.
  3. Glaucoma Research Foundation (25 August 2017). Laser Surgery (en). Glaucoma Research Foundation. Iliwekwa mnamo 9 July 2018.

Marejeo