Dijiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Digiti kumi (10) za hesabu za Kiarabu, kwa kufuata mlolongo wa thamani

Dijiti (kutoka neno la Kiingereza ambalo kwa Kilatini linamaanisha kidole) ni tarakimu zinazoenea katika vidole kumi vya mkono wa binadamu, kuanzia 0 hadi 9.

Siku hizi neno hilo linatumika sana katika teknolojia ya simu, runinga, tarakilishi n.k. kama mfumo unaotumia namba kufichua alama za kielektroni.