Nenda kwa yaliyomo

Usalama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Usalama (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: security) ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii.

Kujisikia salama ni kati ya haja za msingi za nafsi, hivyo kuhakikisha usalama wa ndani na nje ni kati ya majukumu muhimu zaidi ya serikali, ambayo kwa ajili hiyo inatumia jeshi, polisi n.k.

Utovu wa usalama ni kati ya sababu kuu za watu kuhama nchi yao kama [[wakimbizi] .