Alfred Fried

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfred Fried
Tuzo Nobel.png

Alfred Hermann Fried (11 Novemba 18645 Mei 1921) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Austria. Alianzisha makampuni na majarida mengi kwa ajili ya amani. Mwaka wa 1911, pamoja na Tobias Asser alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Fried kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.