Tobias Asser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tobias Asser

Tobias Michael Carel Asser (28 Aprili 183829 Julai 1913) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya Uholanzi. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha Amsterdam. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa The Hague. Mwaka wa 1911, pamoja na Alfred Fried alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tobias Asser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: