Mayotte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mayotte
Kisiwa cha Mahore
Flag of France Coat of Arms of Mayotte
(Kinaganaga) (Kinaganaga)
La Marseillaise | ni wimbo wa taifa wa ufaransa
Location of Mayotte
Lugha za Taifa Kiswahili (shimaore)
Kifaransa
Mji Mkuu Mamoudzou
Rais
Rais waUfaransa
Nicolas Sarkozy
Eneo
 - Jumla
 - 0.4% Maji
Kadiriwa 185 duni
374 km²
Umma
 - Kadiriwa (201,234)
 - Sensa, julai 2002 (160,265)
 - Umma kugawa na Eneo (kilomita) 429
Kadiriwa 187 duni
; (11 duni)
Chumo cha uchumi
 - Jumla
 - kwa kipimo cha umma
$466.8 billion (208 kadir)
$2,600 (165)
Uhuru
 - Kadirifu
 - Barabara
Eneo ya Ufaransa
Kapiga kura ya maoni kubaki eneo ya ufaransa
Fedha Euro
Saa za Eneo UTC +3
Wimbo wa Taifa La Marseillaise
Intaneti TLD .yt
kodi za simu 269 maadishi chache) kisiwa hichi chatumia kodi moja na komoro. 0269 kama miji ya ufaransa Wizara ya eneo za Ufaransa ''départements''.
Bahari Karibu na Mamoudzou
Ramani ya Komoro na Mayotte

Mayotte ni eneo la ng’ambo la Ufaransa (zajulikana kwa Kifaransa kama Collectivité d'outre-mer). Ina visiwa viwili vya Mahore na Pamanzi. Mayotte iko kaskazini ya Kanali ya Msumbiji kwa Bahari Hindi, kati ya Madagaska upande wa mashariki-kusini na Msumbiji bara upande wa magharibi. Eneo hili kijiografia ni hasa muungo wa funguvisiwa ya Komoro lakini siyo kwa kisiasa ama ramani za kisiasa.

Mji mkuu ni Mamoudzou tangu 1977. Mji mkuu wa zamani ni Dzaoudzi kwenye kisiwa cha Pamanzi.

Usafiri[hariri | hariri chanzo]

Lugha na Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Kuna lugha tatu ambazo hzungumzwa kisiwani Mayotte, yaani Kifaransa (lugha rasmi), Kimaore ya Komori, na Kibushi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia