Pamanzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwonekano wa ziwa Dziani katika kisiwa cha Pamanz, Mayotte

Pamanzi (Kifaransa: Petite-Terre) ni kisiwa kidogo cha eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayotte. Kisiwa cha pili na kikubwa ni Mahore (Kifaransa: Grande-Terre).

Pamanzi ina eneo la 11 km². Mji mkubwa ni Dzaoudzi penye kiwanja cha ndege.

Kijiografia kisiwa ni sehemu ya funguvisiwa ya Komoro.