Jiografia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jiografia ni somo la Dunia na vipengele vyake, wakazi wake, na maajabu yake.[1] Neno jiografia linatokana na maneno ya Kigiriki ("Dunia") na graphein ("kuandika"). Ina maana ya "kuandika kuhusu Dunia". Neno hili lilianza kutumiwa kwa mara ya kwanza na mwanasayansi mmoja aitwaye Eratosthenes (276-194 KK).

Sehemu za jiografia ni vitu kama mabara, bahari, mito na milima. Wakazi wake ni watu wote na wanyama waishio juu yake. Maajabu yake ni vitu vinavyotokea kama vile maji kujaa na kupwa, upepo, na tetemeko la ardhi.

Afrika[hariri | hariri chanzo]

Afrika ya Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Afrika ya Kati[hariri | hariri chanzo]

Afrika ya Kaskazini[hariri | hariri chanzo]

Afrika ya Kusini[hariri | hariri chanzo]

Afrika ya Magharibi[hariri | hariri chanzo]

Amerika ya Kaskazini[hariri | hariri chanzo]

Amerika ya Kati[hariri | hariri chanzo]

Nchi za barani[hariri | hariri chanzo]

*(Meksiko mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati kwa sababu za kiutamaduni)

Nchi za visiwa vya Karibi[hariri | hariri chanzo]

Amerika ya Kusini[hariri | hariri chanzo]

Asia[hariri | hariri chanzo]

Asia ya Kati[hariri | hariri chanzo]

Asia ya Kaskazini[hariri | hariri chanzo]

Asia ya Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Asia ya Kusini-Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Asia ya Kusini[hariri | hariri chanzo]

Asia ya Magharibi[hariri | hariri chanzo]

Bara Arabu[hariri | hariri chanzo]

Ulaya[hariri | hariri chanzo]

Oceania[hariri | hariri chanzo]

Mfumo wa jua na sayari zake[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jiografia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Geography. The American Heritage Dictionary/ of the English Language, Fourth Edition. Houghton Mifflin Company. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2006.