Mwanasayansi
Mandhari
Mwanasayansi ni mtu anayejihusisha na shughuli maalumu ili kupata maarifa. Kwa maana pana zaidi, mwanasayansi anaweza kutajwa kama mtu anayetumia mbinu za kisayansi.[1] Mtu huyo anaweza kuwa mtaalamu katika eneo moja au zaidi ya sayansi.[2]
Wanasayansi hufanya utafiti kuelekea uelewa mkubwa zaidi wa uasilia, ikiwa ni pamoja na ulimwengu kimwili, kihisabati na kijamii. Kwa kawaida wanasukumwa na udadisi wao.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Isaac Newton (1687, 1713, 1726). "[4] Sheria kwa ajili ya utafiti wa Falsafa ya asili", Kanuni za Kihisabati za Falsafa ya Asili, Toleo la tatu.Scholium kuu yenye sheria 4 inafuata kitabu cha 3, Mfumo wa dunia. Iliyochapishwa kwenye kurasa 794-796 wa tafsiri ya 1999 ya I. Bernard Cohen na Anne Whitman's, Chuo Kikuu cha California presskurasa ISBN 0-520-08817-4, 974.
- ↑ Kamusi ya Kiingereza ya Oxford, toleo la pili. 1989
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwanasayansi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |