Uasilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Umeme ukiangaza wakati wa milipuko ya volkeno Galunggung, Java, Indonesia, 1982.

Uasilia, maana yake ni ulimwengu ulivyo kwa asili, kabla ya binadamu kuuathiri kwa utamaduni na hasa kwa ustaarabu wake.

Uasilia wote unasomwa kwa mpango na sayansi.

Neno la Kiingereza nature linatokana na Kilatini ambapo natura linamaanisha "tabia ya kuzaliwa nayo".

Natura lilikuwa tafsiri ya neno la Kigiriki physis (φύσις) lililotumiwa na washairi na wanafalsafa wa kwanza.[1][2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. A useful though somewhat erratically presented account of the pre-Socratic use of the concept of φύσις may be found in Naddaf, Gerard The Greek Concept of Nature, SUNY Press, 2006. The word φύσις, while first used in connection with a plant in Homer, occurs very early in Greek philosophy, and in several senses. Generally, these senses match rather well the current senses in which the English word nature is used, as confirmed by Guthrie, W.K.C. Presocratic Tradition from Parmenides to Democritus (volume 2 of his History of Greek Philosophy), Cambridge UP, 1965.
  2. The first known use of physis was by Homer in reference to the intrinsic qualities of a plant: ὣς ἄρα φωνήσας πόρε φάρμακον ἀργεϊφόντης ἐκ γαίης ἐρύσας, καί μοι φύσιν αὐτοῦ ἔδειξε. (So saying, Argeiphontes [=Hermes] gave me the herb, drawing it from the ground, and showed me its nature.) Odyssey 10.302-3 (ed. A.T. Murray). (The word is dealt with thoroughly in Liddell and Scott's Greek Lexicon.) For later but still very early Greek uses of the term, see earlier note.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uasilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.