Ekuador

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
República del Ecuador
Jamhuri ya Ekuador
Bendera ya Ekuador Nembo ya Ekuador
Bendera Nembo
Wito la taifa: Kihispania: "Dios, patria y libertad"
("Mungu, taifa na uhuru")
Wimbo wa taifa: Salve, Oh Patria (usalimiwe e taifa)
Lokeshen ya Ekuador
Mji mkuu Quito
00°9′ S 78°21′ W
Mji mkubwa nchini Guayaquil
Lugha rasmi Kihispania
Serikali Jamhuri
Rafael Correa
Uhuru
Kutoka Hispania
kutoka Gran Colombia

24 Mei 1822
13 Mei 1830
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
256,370 km² (ya 72)
8.8
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
13,228,000 (ya 67)
47/km² (ya 147)
Fedha U.S. dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-5; UTC -6 (Galápagos Islands))
(UTC)
Intaneti TLD .ec
Kodi ya simu +593

-


Ramani ya Ekuador

Ekuador (kisw. pia: Ekwado) ni nchi kwenye pwani la magharibi ya Amerika Kusini. Jina la nchi lamaanisha "ikweta".

Imepakana na Kolombia, Peru na Bahari ya Pasifiki. Funguvisiwa ya Galapagos (Archipiélago de Colón) ni sehemu ya Ekuador ikiwa na umbali wa karibu 1,000 km kutoka bara. Mji mkuu ni Quito.

Ekuador ilikuwa koloni ya Hispania hivyo lugha ya wakazi wengi na lugha rasmi imekuwa Kihispania. Hasa katika milima ya Andes kuna Waindio wengi wanaoendelea kutumia lugha zao.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyana ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
South America.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ekuador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.