Guayaquil
Mandhari
| Jiji la Guayaquil | |
| Nchi | Ekuador |
|---|---|

Guayaquil ni mji mkubwa nchini Ekuador. Pia ni makao makuu ya kibiaShara na ndipo ilipo bandari kuu. Guayanaquil ni makao makuu ya jimbo la Guayas. Mji huu uko magharibi pembezoni mwa Mto Guayas ambao unamwaga maji yake bahari ya Pasifiki katika ghuba ya Guayaquil.
Mji una takribani wakazi 2,746,403.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guayaquil kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
