Majadiliano:Jiografia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sijaelewa namna makala hii ilivyo. Haikuelezea kabisa jiografia ni kitu gani kama jinsi walivyofanya wenzetu wa Wikipedia zingine. Ninaulizia kwa sababu Wikipedia hii kuna watu walitangualia awali kabla mimi sijaja! Ikiwa kuna taarifa yeyote unayoelezea sababu za kutoweka maelezo ya awali ni kitu gani, basi nitasubiri ili nipate jibu kisha nitaenelea na uumbaji wa mlango wa jiografia! Wenu kijana mtiifu,--Mwanaharakati (Longa) 15:16, 12 Juni 2009 (UTC)