Waswahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Waswahili ni jina la kutaja wakazi wa miji ya pwani ya Bahari Hindi katika Afrika ya Mashariki, hasa Tanzania na Kenya ambao ni wasemaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya kwanza. Neno "Swahili" latokana na Kiarabu "sawahil" yaani pwani, kwa hiyo maana yake ni "watu wa pwani". Lakini si makabila yote ya pwani la Afrika ya Mashariki ambao ni Waswahili.

Kimbari ni Wabantu wakichanganyikiwa kiasi na watu wengine hasa Waarabu. Kiutamaduni ni Waislamu wanaofuata madhhab ya Hanafi.

Pia ni kawaida kuwaita wasemaji wa Kiswahili Waswahili hata kama ni wenyeji wa makabila mengine.

"Mswahili" ni pia namna ya kumtaja mtu mjanja kwa lugha ya mzaha.

Tazama pia


Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waswahili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Waswahili" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.