Wakami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakami ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Morogoro, kwenye wilaya za Kilosa na Morogoro Vijijini. Lugha yao ni Kikami.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakami kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.