Wakwaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wakwaya ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara, pwani ya Ziwa Viktoria. Lugha yao ni Kikwaya.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakwaya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.