Wamatengo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wamatengo ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Ruvuma (Wilaya) Mbinga mashariki.

BURUDANI ZA JADI[hariri | hariri chanzo]

Kuanzia mwezi juni mpaka november wamatengo hujiburudisha na ngoma za asili. Wanaume hupendelea kucheza ngoma ya mganda na mhambo na wanawake hupenda kucheza ngoma aina ya kioda.

SHUGHULI ZA KIUCHUMI[hariri | hariri chanzo]

Kilimo cha mazao ya biashara(kahawa)na mazao ya chakula kama vile mihogo, mahindi, maharage,ngano na ufugaji wa wanyama mchanganyiko.

Jiografia ya makazi[hariri | hariri chanzo]

Wamatengo wanapenda kuishi milimani hii ni kwa sababu ya hitaji la ardhi kwaajili ya kilimo hasa cha mazao ya biashara (kahawa)na shughuli za ufugaji.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamatengo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.