Wanyamwanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wanyamwanga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Mbozi, na Mkoa wa Rukwa, Wilaya ya Sumbawanga Vijijini.

Lugha yao ni Kinyamwanga, jamii ya Kifipa.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyamwanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.