Msonge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msonge karibu na Kassala nchini Sudan.

Msonge ni aina ya nyumba ambazo zinajengwa kwa mfano wa herufi A kwa kutumia fito, matope na nyasi ngumu juu.

Wafugaji hasa hupenda kujenga aina hii ya nyumba.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msonge kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.