Warungu
Warungu ni kabila la watu kutoka eneo la kusini-magharibi la Tanzania na kaskazini-mashariki mwa Zambia.
Mwaka 1987 idadi ya Warungu nchini Tanzania ilikadiriwa kuwa 34,000. Nchini Zambia, idadi ya Warungu haijakadiriwa peke yao, lakini mwaka 1993 idadi ya Warungu pamoja na Wamambwe ilikadiriwa kuwa 262,800 [1].
Kilungu, lugha ya Warungu, na Kimambwe ni lahaja za lugha moja.
![]() |
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Warungu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |