Wandonde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wandonde ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Liwale.

Lugha yao ni Kindonde.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wandonde kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.