Wangurimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wangurimi (au Wangoreme) ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara, wilaya ya Serengeti. Wanapatikana kwa wingi huko Iramba (Ngoreme), Majimoto, Busawe, Gantamome, Kisaka Nyiboko, Nyansurumunti, Gantamome, Busawe, Mesaga, Kenyamonta, Remung'oroli, Maburi, Gusuhi, Kemgesi, Masinki, Magange, Ring'wani, Kenyana, Nyamatoke, Mosongo, Nyamitita na Bolenga.

Lugha yao ni Kingurimi.

Ni wafugaji wa ng'ombe, mbuzi, kondoo, mbwa kwa ulinzi wa mifugo, paka na punda: hiyo ndiyo asili yao.

Chakula cha asili ni ugali wa ulezi, mtama, mhogo, mahindi pia kunde, njugumawe, maboga, karanga.

Watani wa Wangurimi ni Wanyiramba na Wamasai.

Wangoreme ni wakarimu sana na wanapenda maendeleo, pia ni watu ambao wanapenda sana siasa. Kuna ushindani mkubwa, hasa kati ya vyama viwili: CCM na [[CHADEMA].

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wangurimi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.