Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka CHADEMA)
Jump to navigation Jump to search

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (kifupi: Chadema) ni chama cha upinzani nchini Tanzania ambacho kuanzia mwaka 2010 ndicho kikuu kuliko vyote.

Kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, gavana na waziri wa fedha katika enzi za utawala wa Mwalimu Julius Nyerere.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]