Nenda kwa yaliyomo

NCCR-Mageuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka NCCR–Mageuzi)
National Convention for Construction and Reform - NCCR Mageuzi
MwanzishajiMabere Marando
Ilianzishwa1992
tovuti
nccrmageuzi.or.tz


NCCR-Mageuzi ni chama cha upinzani nchini Tanzania ambacho kilisajiliwa rasmi tarehe 29 Julai 1992 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.

Chama hicho kilianzishwa kama matokeo ya juhudi za wananchi wa Tanzania kujikomboa kutokana na ubeberu ambao umejikita katika nchi hiyo tangu mwaka 1884.

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]