Nenda kwa yaliyomo

Alliance for Change and Transparency

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alliance for Change and Transparency (ACT) (kwa Kiswahili:Umoja kwa Mabadiliko na Uwazi) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania.[1] Kimepata usajili wake kamili mnamo Mei 2014.[2]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Chama kilianzishwa mwaka wa 2014.

Kimenuia kurudisha sera za Ujamaa. Mbunge wa zamani wa upinzani Zitto Kabwe amejiunga na chama hicho mnamo Machi 2015 kufuatia kufukuzwa kwake katika chama cha Chadema.[3]

Mwaka 2015 chama kilipanga kuchukua angalau majimbo 10 na kukusanya asilimia 15 ya jumla ya kura zitakazopigwa katika uchaguzi mkuu.

  1. Mwangonde, Henry (4 Machi 2014). "TZ gets new political party, pledges wider democracy". The Citizen (Tanzania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-07. Iliwekwa mnamo 2014-07-21.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "New Political Party Enters Scene With 'Mature Politics' Pledge". Daily News (Tanzania). 6 Mei 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-28. Iliwekwa mnamo 2014-07-21.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Kabendera, Eric (28 Machi 2015). "Return of Ujamaa as Zitto Kabwe defects to new party". TheEastAfrican. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-03. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2015. {{cite news}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]