Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (kifupi: Chadema) ni chama cha upinzani nchini Tanzania kilicho kikuu kuliko vyote.

Kilianzishwa mwaka 1992 na mwanasiasa mkongwe na gavana na waziri wa fedha wa zamani enzi za utawala wa Mwl Nyerere.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]