Chama cha Ukombozi wa Umma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. Kilianzishwa mnamo mwaka 2013[1]. Mwaka uleule Hashim Spunda Rungwe alijiunga na chama hicho akawa kiongozi wake aliyegombea urais wa Tanzania mwaka 2015 na 2020. Rungwe aliwahi kuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi akiwa mgombea wa chama hicho katika uchaguzi wa 2010. [2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Briefly about Chaumma, gazeti la Citizen TZ ya tar. 24.10.2015
  2. NCCR-Mageuzi ex-presidential candidate defects Archived 10 Agosti 2014 at the Wayback Machine., gazeti la Daily News TZ tarehe 6 Septemba 2013