NCCR-Mageuzi
Jump to navigation
Jump to search
NCCR-Mageuzi ni chama cha upinzani nchini Tanzania ambacho kilisajiliwa rasmi tarehe 29 Julai 1992 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.
Chama hicho kilianzishwa kama matokeo ya juhudi za wananchi wa Tanzania kujikomboa kutokana na ubeberu ambao umejikita katika nchi hiyo tangu mwaka 1884.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
- Mwenyekiti: James Francis Mbatia
- Makamu wa Mwenyekiti Zanzibar: Haji A. Khamis
- Katibu Mkuu: Juju M. Ndada
- Naibu Katibu Mkuu Bara: Elizabeth M. Mhagama
- Naibu Katubu Mkuu Zanzibar : Mussa K. Mussa
- Mweka Hazina wa Taifa: Mike A. Karava