Nenda kwa yaliyomo

Upinzani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simama katika Upinzani (Boston, Marekani).

Upinzani katika siasa unatokana na vyama vya kisiasa au makundi mengine ambayo hayakubali itikadi au maamuzi ya serikali na chama tawala.

Upinzani unakuwa na kiwango tofauti kadiri ya tofauti zilizojitokeza na hali ya nchi kuwa ya kidemokrasia au ya kiimla[1].

  1. Blondel, J (1997). "Political opposition in the contemporary world". Government and Opposition. 32 (4): 462–486. doi:10.1111/j.1477-7053.1997.tb00441.x. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-05.