Freeman Mbowe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Freeman Aikaeli Mbowe (amezaliwa 14 Septemba 1961) ni mwanasiasa Mtanzania, mwanachama, mbunge na mwenyekiti wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Alichaguliwa tangu mwaka 2000 kuwa mbunge wa Jimbo la Hai lililopo mkoa wa Kilimanjaro, akarudishwa kwa miaka 20152020. [1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]