Nenda kwa yaliyomo

Mwenyekiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hashimu Rungwe mwenyekiti wa chama cha siasa kutoka Tanzania CHAUMA
Samia Suluhu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM kutoka Tanzania

Mwenyekiti ni kiongozi wa juu katika shirika au kikundi, kama vile bodi au kamati. Mwenyekiti ndiye anyeongoza vikao vyote katika kikundi au shirika husika.

Kwa kawaida huchaguliwa au kuteuliwa na wanashirika au wanakikundi husika kulingana na sheria na kanuni zao.