Wadhaiso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wadhaiso ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Tanga, katika vijiji viwili tu vya Wilaya ya Muheza. Lugha yao ni Kidhaiso.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadhaiso kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.