Wanindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanindi ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya Songea na wilaya ya Namtumbo, hususani katika vijiji vya Matepwende-Ligera, Ligera, Limamu, Ligunga na Magazini.

Lugha yao ni Kinindi ambacho labda ni lahaja ya Kindendeule tu. Inashabihiana na Kingoni na Kipangwa.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanindi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.