Wakisankasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakisankasa ni kabila dogo la watu wa mkoa wa Arusha na mkoa wa Mara katika Tanzania Kaskazini.[1]

Mwaka 1987 walikadiriwa kuwa 4,670 tu.[2] Ni tofauti na makundi mengine ya watu wanaoitwa Wadorobo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Matthias Brenzinger (1993), Language Death: Factual and Theoretical Explorations with Special Reference to East Africa, Walter de Gruyter, ISBN 3110134047 
  2. Languages of Tanzania
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakisankasa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.