Wakimbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakimbu ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi mpakani mwa mikoa mitatu, yaani Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Singida na Mkoa wa Mbeya, hasa kwenye Wilaya ya Sikonge, Wilaya ya Manyoni na Wilaya ya Chunya. Lugha yao ni Kikimbu.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakimbu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.