Wilaya ya Sikonge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Sikonge (kijani) katika mkoa wa Tabora.

Wilaya ya Sikonge ni moja kati ya wilaya sita za Mkoa wa Tabora nchini Tanzania. Wilaya ya Sikonge imeapakana na wilaya ya Uyui upande wa kaskazini, upande wa kusini na mkoa wa Mbeya, upande wa magharibi na mkoa wa Rukwa , upande wa kazkazini-magharibi na wilaya ya Urambo na upande wa mashariki na mkoa wa Singida. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 179,883. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Sikonge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Sikonge - Mkoa wa Tabora - Tanzania

Chabutwa | Igigwa | Ipole | Kiloleli (Sikonge) | Kiloli | Kilumbi | Kipanga | Kipili | Kisanga | Kitunda | Mishenu | Mkolye | Mole | Mpombwe | Ngoywa | Nyahua | Pangale | Sikonge | Tutuo | Usunga