Nenda kwa yaliyomo

Kikimbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikimbu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakimbu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikimbu imehesabiwa kuwa watu 78,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikimbu iko katika kundi la F20.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Busse, Joseph. 1952/53. "Kimbu-Sprachproben". Afrika und Übersee, 37 (4), uk.183-186.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikimbu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.