Wamahanji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wamahanji ni kabila la watu kutoka wilaya ya Makete, katika milima Kipengere ya Mkoa wa Njombe, sehemu ya kusini ya nchi Tanzania.

Mwaka 2012 idadi ya Wamahanji ilikadiriwa kuwa 10,000. Lugha yao ni Kimahanji.

Wamahanji ni majirani kabisa wa kabila la Wakinga. Asilimia kubwa ya Wamahanji wapo sehemu za vijiji saba vya kata ya Kipagalo na tarafa ya Bulongwa, wilaya ya Makete.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamahanji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.