Wamanyema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wamanyema (Una-Ma-Nyema, yaani Walasamaki), ni shirikisho la makabila ya Kibantu yanayopatikana kusini mashariki ya beseni la mto Kongo na katika mkoa wa Kigoma.

(Manyema Association) imeundwa miaka ya 1930, na inajumuisha makabila 18 ya Wamanyema yaliyounganishwa kwa imani ya dini ya Kiislamu na asili ya kuhama kutoka mashariki ya Kongo ya Kibelgiji au Kongo ya Kiarabu.

Kwa Tanzania, wanajumuisha makabila ya Wagoma, Wabwari, Wamasanze, Wabembe, Waholoholo n.k ambao wote hujiita Wamanyema.

Kwa sehemu kubwa ya karne ya 19 waliwindwa sana na Waarabu waliofanya biashara ya watumwa.

Watu maarufu[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamanyema kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.