Warungi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Warungi ni kabila la watu kutoka eneo la pwani ya kusini-mashariki ya Ziwa Tanganyika, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Warungi ilikadiriwa kuwa 166,000 [1].

Kwa sasa wataalamu wanakanusha uwepo wa lugha maalumu ya Kirungi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warungi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. [1]