Wanyanyembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanyanyembe ni watu wa Tanzania wanaounda tawi la kabila la Wanyamwezi.

Wanaongea Kinyamwezi kwa lahaja maalumu, Kinyanyembe.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyanyembe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.