Wapimbwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wapimbwe ni kabila la watu kutoka Mkoa wa Rukwa, magharibi mwa nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wapimbwe ilikadiriwa kuwa 29,000 [1]. Lugha yao ni Kipimbwe.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wapimbwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.